Value |
Category |
Bidhaa hii inatofauti naile ya mwanzo kwa kuwa hii mpya ni heavy duty na imara sana kuliko ile ya mwanzo. |
|
Bidhaa mpya bunifu hutusaidia kuyehusha vyuma kwa ubora zaidi na tofauti na mwanzo ilikuwa ni kupika vyuma tu |
|
Hapo awa thamani zilizokuwa zinatengenezwa hazikuwa za kisasa ni thamani zilizokuwa zimepitwa na wakati |
|
Hapo mwanzo tuliwapatia soda kwenye chupa za glass,lakini sasa hivi tunawapatia soda abiria wetu zikiwa kwenye chupa ya plastics. |
|
Hii ni bora zaidi kuliko ile ya mwanzo kwa sababu inatuingizia wateja wengi kutokana na huduma tuliyoboresha. |
|
Hotel ilikuwa na uwezo wa kupokea wageni 20 peke yake ila sasa hotel inauwezo wa kupokea wageni zaidi ya 50 kulingani na kuongezeka jengo lingine la hotel |
|
INATUMIA KOKOTO NA RANGI NA MCHANGA NA SARUJI. ZA MWANZO NI SARUJI NA MCHANGA TU |
|
It was in order not to be a member |
|
Many customers |
|
Mwanzo vitanda vya mbao za miembe sasa mbao za mdf |
|
Mwanzo walikua wanatoa maji kwa wateja sasa wanatoa vinywaji raini |
|
Mwanzo waliuza vinywaji na chakula kwa sasa wanakodisha na ukumbi |
|
Mwanzon waliuza dawa tu na kutoa kwa njia ya cash sasa hivi wanauza vipimo vya malaria na ukimwi na pia wanatoa kwa credit |
|
Mwanzon waliuza maziwa na vitafunwa yaan bites kwa sasa wanauza vyakula na soda |
|
Mwanzoni walikua wanatumia walinzi (watu) sasa wanatumia cctv camera |
|
Mwanzoni walikuwa wanasafirisha mizigo kwa magari ya kukodi ila kwa sasa wanasafirisha kwa magari ya ofisini waliyonunua |
|
Mwanzoni walikuwa wanauza soda za kampuni ya pepsi tu lakini kwa sasa wanauza na za kampuni ya cocacola |
|
NILIKUWA NAUZA VIFAA VYA MAGARI. |
|
Ni bidhaa ambazo zinatumia mbao kila sehemu kwa mfano meza miguu ni mbao hata top ya juu ni mbao pia labda mteja ahitaji top ya kioo |
|
Ni uboreshwaj wa vitanda mwanzon vilikuwa vya kawaida kwa sasa vinaitwa peneli vina mabawa makubwa kwa mbele ya kitanda kwa juu . |
|
Photopino ni aina ya zamani katika inatofautiana na monalisa kwakua inatengenezwa kwa leather na kitambaa na monalisa inatengenezwa kwa kitambaa na miundo yake ni tofauti |
|
Utengenezaji wa magari |
|
Was selling beef |
|
Welding and brick making |
|
YA KWANZA ILIKUWA YA KITUMIA MKONO LAKINI YA SASA NI YA AUTORMATIC MASHINE NI BORA ZAIDI. |
|
Zamani tulishona magauni ya vitenge tu sasa tunashona suti za kina mama |
|
Zamani tulitengeneza madirisha ya aluminiam sasa madirisha ya chuma |
|
Zamani tuliuza thamani zandani tu kwa sasa tunatengeneza na milango |
|
bidhaa za mwaka wa fedha 2010-2012 zinatoka china |
|
biter lemon haina sukari kama soda zingne zilivyo na sukari |
|
haina tofauti sana na ambayo tunayo ila hii ni mchanganganyiko wa malighafi tofauti |
|
haitofautiani sana |
|
hakuna |
|
hakuna maelezo |
|
hudama ya kwanza tulikuwa tuna tengeneza fanicha za wateja lakini sasa tunatengeneza na kuuza |
|
huduma bunifu inasaidia kufikisha bidhaa kwa wakati tofauti na zamani ambapo ilikuwa inapoteza muda |
|
huduma bunifu tunawapelekea wateja bizaa yetu ya majani ya chai sehemu waliyopo huduma ya zamani walikuwa wanafuata wenyewe |
|
huduma kuu tunatengeneza vifaa kwa kutumia aluminiam na huduma nyingine tunatengeneza kwa kutumia mbao |
|
huduma mpya tunauza nguo hudima ya zamani tulikuwa tuna shona nguo bila kuuza |
|
huduma ya mwanzo tulikuwa tunashona nguo tu lakini hudima mpya tunauza na nguo na kushona |
|
huduma ya mwanzo tulikuwa tunashona tu huduma ya sasa tunashona na kuuza |
|
huduma ya mwanzo tulikuwa tunatengeneza faniture huduna ya sasa tuna uza fa niture |
|
huduma ya mwanzo wateja walikuwa wanafuata wenyewe huduma ya sasa tunawapelekea |
|
huduma ya mwanzotulkuwa tunatengeneza faniture kwa kutumia mbao lajini lakini huduma ya sasa tunatenfeneza kwa kutumia aluminium na vioo |
|
huduma ya sasa bunifu inasaidia katika suala zima la muda kwa mf. Badala yakufanya kazi ya siku tatu kazi humalizika ndani ya siku 2 |
|
huduma ya zamani ilikuwa inachukua muda mwingi kufanya kazi moja lakini huduma ya sasa inasaidia kumaliza kazi kwa wakati |
|
huwa niya kuchonga ambayo ni kubuni kwa uelewa wa kifundi au kichwani mwake. |
|
inasaidia kutunza muda |
|
it is recycled |
|
kuboresha biashara |
|
matumizi ya mitambo ili kufanikisha kazi ifanyike kwa urahisi zaidi |
|
mbali na mafunzo ya kompyuta pia tumeanzisha mafunzo ya kiingereza kwa baadhi ya wanafunzi (english course) |
|
mwanzo wateja walikuwa wanafuata nyama wenyewe ila sasa wanaweza kupelekewa hadi nyumbani |
|
mwanzon twiga walitengenezwa kwa kusimama kwa miguu yao wenyewe sasa hivi wametengenezewa kibao au stand kwa ajili ya kusimamia |
|
mwanzoni nilitengeneza kochi za kawaida sasa natengeneza kochi za sofa. |
|
mwanzoni palitengenezwa flame za madirisha na milango ya geti kwa sasa wanatengeneza na vitanda vya chuma |
|
mwanzoni paliuzwa vinywaji tu kwa sasa wanauza na chakula |
|
mwanzoni tulikuwa tunauza balbu ba nyaya za umeme. |
|
mwanzoni tulikuwa tunauza matairi ya michirizi midogo ila sasa hadi za magari. |
|
mwanzoni tunauza vinywaji lakini kwasasa tunauza chakula. |
|
mwanzoni walikuwa wanachonga lakini kwasasa wanasuka. |
|
mwanzoni walikuwa wanauza vocha lkn kwasasa wanatumia mashine ya selcom |
|
mwanzoni waliuza magodoro ya aina nyngne kama vita raha na magodoro dodoma kwa sasa wanauza na magodoro ya confyn |
|
ni kubwa kuliko ys kwanza.Ko inakidhi mahitaji |
|
sasa hivi kazi inamalizika ndani ya muda mfupi ukilinganisha na zamani |
|
tofauti huduma hii huwa tunawapitia watu majumbani na kuwafungia |
|
tulikuwa tunazalisha bomba za size ya ml 20 |
|
zamani kulikuwa na pub kwasasa wana duka. |
|
zamani tulikuwa tunatumia malighafi za mbao lakini sasa hivi tunatumia chuma na mbao |
|
zamani wafanyakazi walikuwa hawatumii mitambo mf.Mashine lakini sasa hivi huduma imeboreshwa zaidi |
|
Warning: these figures indicate the number of cases found in the data file. They cannot be interpreted as summary statistics of the population of interest.