IHSN Survey Catalog
  • Home
  • Microdata Catalog
  • Citations
  • Login
    Login
    Home / Central Data Catalog / TZA_2014_SEDPIE-BLII_V01_M / variable [F1]
central

Effectiveness of Education Service Delivery Impact Evaluation 2014

Tanzania, 2014
Reference ID
TZA_2014_SEDPIE-BLII_v01_M
Producer(s)
Shwetlena Sabarwal, Deon Filmer, James Habyarimana
Metadata
DDI/XML JSON
Created on
Sep 16, 2015
Last modified
Mar 29, 2019
Page views
38805
Downloads
1386
  • Study Description
  • Data Dictionary
  • Downloads
  • Get Microdata
  • Data files
  • head_master_13052014
  • teacher_07052014

a23. remarks by interviewer: (q_98)

Data file: head_master_13052014

Overview

Valid: 369
Invalid: 0
Type: Discrete
Start: 9397
End: 9476
Width: 80
Format:

Questions and instructions

Categories
Value Category
-1
Alijibu maswali yote vizuri
Alijibu maswali yote.
Amejibu maswali yote ila walimu hawakuwepo shulen kwa sababu ilikuwa ni siku ya
Amejibu vizuri.
Ameonesha ushirikiano
Ameonesha ushirikiano ila kwenye jina la mwenyekiti wa bodi na namba yake ya sim
Ameonesha ushirikiano katika mahojiano ila kuhusu ruzuku hawajawahi kupata hizo
Ameonesha ushirikiano mzur
Ameonesha ushirikiano mzuri
Ameonesha ushirikiano mzuri katika kujibu maswali ila mazingira ya shule ni magu
Ameonesha ushirikiano wa kutosha
Ameonyesha ushirikiano lakini vingine alikuwa hana uhakika.
Ameonyesha ushirikiano wakutosha
Ameshiriki vizuri
Ametoa ushirikiano katika kufanikisha zoezi hili ila ameshauri kuna baadhi ya ma
Ametoa ushirikiano katika kukamilisha utafiti huu hakuwa na swali wala maoni juu
Ametoa ushirikiano mkubwa
Ametoa ushirikiano mzuri katika kufanikisha zoezi hili na hakuwa la kuongezea ju
Ametoa ushirikiano mzuri katika zoezi hili ila anaomba na shule hii iwepo kwenye
Ametoa ushirikiano mzuri katika zoezi hili ila anapendekeza zoezi hili lisiwe kw
Ametoa ushirikiano mzuri sana katika kukamilisha utafiti huu ila anashauri walim
Ametoa ushirikiano wa kutosha katika kukamilisha utafiti ila anapekeza taarifa y
CHANGAMOTO NIKUBWA KWA SABABU MWALIMU WA TALUMA NDIO ALIKUWA AKITOA TAARIFA,MFAN
Comleted.
Completed.
DONE.
Good
Good .
Good cooperation .
Good cooperative.
Hakuna tatizo lolote mahojiano jamefanyika vizuri.
Hakuna tatizo lolote nililolipata.
He was very cooperative
Head master ametoa ushirikiano wa kutosha wakati wa kuhojiwa kwa kutoa maelezo y
Hii shule
Ilikuwa ni ngumu kupata taarifa za ruzuku.
KUMBUKUMBU ZILIKUWA ZA SHIDA KUPATIKANA.
Kanionesha ushirikiano mkubwa sana alikua anatafuta document. kwene kabati zake
Kanipa ushirikiano mkubwa sana kanionesha document zote zinazoitajika
Kanipa ushirikiano mzuri kanionesha document. zote
Kanipa ushirikiano mzuri sana kanionesha document. zote
Kanipa ushirikiano sana
Katika shule hii mkuu alitoa ushauri kwamba utoaji wa zawadi ufanyikao kimkoa uw
MAHOJIANO YALICHUKUA MUDA MREFU SANA
MAHOJIANO YALIKUWA MAZURI NA MKUU WA SHULE KAONYESHA USHIRIKIANO.
MAKAMU MKUU WA SHULE AMESHIRIKIANA NA MIMI VIZURI.
MHOJIWA ALITOA USHIRIKIANO IPASAVYO AMETUMIA VIELELEZO KUTOA TAARIFA ZILIZOPATIK
MKUU KATOA USHIRIKIANO WA KUTOSHA JAPO KULIKUWA NA CHANGAMOTO KIDOGO KWENYE IDAD
MKUU WA SHUKE YUKO KWENYE KIKAO NAKAMU WAKE KASHINDWA KUTOA BAADHI YA TAARIFA KA
MKUU WA SHULE AMEONESHA USHIRIKIANO KATIKA DODOSO NILILO MUHOJI NA ALIONESHA VIE
MKUU WA SHULE AMEONYESHA USHIRIKIKIANO WA KUTOSHA NA MAELEZO MAZURI.
MKUU WA SHULE ANAUSHILIKIANO WA KUTOSHA NA MAELEZO MAZURI.
MKUU WA SHULE ANAUSHIRIKIANO MZURI NA INAONEKANA ANAUELEWA MZURI NA CHEO ALICHON
MKUU WA SHULE KASHIRIKIANA NAMI VIZURI KATIKA MAHOJIANO.
MKUU WA SHULE KATOA MAELEZO MAZURI NA YANAYORIDHISHA.
MKUU WA SHULE NA MAKAMU WAKE HAWAKUEPO KWAIYO MTAALUMA NDO ALIJIBU DODOSO LA MKU
MWALIMU AMETOA USHIKIANO WA KUTOSHA KATIKA KUFANIKISHA ZOEZI LA UKUSANYAJI WA D
MWALIMU ALIKATAA KUTOA HESABU YA RUZUKU AKIDAI KUWA HAKUACHIWA VIELELEZO NA MWAL
MWALIMU ALITOA USHIRIKIANO IPASAVYO KUFANIKISHA ZOEZI LA DODOSO LA MKUU WA SHULE
MWALIMU ALITOA USHIRIKIANO IPASAVYO NA ALITUMIA VIELELEZO KUTOA TAARIFA KAMILI(D
MWALIMU ALITOA USHIRIKIANO IPASAVYO, ALITUMIA MAANDISHI YALIOHIFADHIWA KUELEZEA
MWALIMU AMBAYE AMESHIRIKI ZOEZI HILI NI ACADEMIC. MWALIMU MKUU NA MAKAMU WAKE HA
MWALIMU AMEONESHA RECORD ZOTE KUHUSU SHULE NA MATUMIZI YAKE NA IDADI KAMILI YA W
MWALIMU AMETOA USHIKIANO IPASAVYO KUWEZESHA ZOEZI LA UKUSANYAJI WA TAARIFA.
MWALIMU AMETOA USHIRIKIANO IPASAVYO AMETUMIA RECORDS NA VINAKILISHI (COMPUTER) Z
MWALIMU AMETOA USHIRIKIANO IPASAVYO KATIKA KUFANIKISHA ZOEZI HILI LA MAHOJIANO.
MWALIMU AMETOA USHIRIKIANO MZURI
MWALIMU AMETOA USHIRIKIANO VIZURI SHULE ILIPOKEA RUZUKU ILA MWASIBU HAYUPO, SIKU
MWALIMU AMETOS USHIRIKIANO MZURI
MWALIMU AMETUMIA SCHOOLS RECORDS. ZILIZOPO
MWALIMU KAONYESHA USHIRIKIANO MKUBWA MNOO
MWALIMU KAONYESHA USHIRIKIANO MZURI
MWALIMU MKUU AMESEMA UTAFITI UNAFANYIKA WAKATI MBAYA KWANI SHULE INAKUWA KWENYE
MWALIMU MKUU AMETOA USHIRIKIANO.
MWALIMU MKUU AMETUMIA MUDA MWINGI SANA KUNIJIBU KWANI HAKUWA Na DATA ZILIZOPANGI
MWALIMU MKUU ANAOMBA SHULE ZA BINAFSI ZIPATE RUZUKU PIA ,MFANO VITABU VINGI VINA
MWALIMU MKUU HAKUWA TAYARI KUTOA HESABU YA FEDHA YA RUZUKU NA MICHANGO NJE YA A
MWALIMU MKUU MSAIDIZI KATOA USHIRIKIANO wA KUTOSHA.
MWALIMU MKUU NA MAKAMU WAKE HAWAPO MAZINGIRA YA SHULE. WALIMTAARIFU MTAALUMA ASH
MWALIMU MKUU YUKO MASOMONI KWAIYO YUPO AMBAE KAKABIZIWA MADARAKA YAKE AMBAPO AME
MWALIMU WA TAALUMA ALITOA USHIRIKIANO MZURI JAPO HAKUWA NA UZOEFU WA KUTOSHA KAT
Mahojiano yalienda vizuri japo kuna maswali mengi alikuwa anakadiria kwa kuwa ye
Mahojiano yalikamilika vizuri na mwalimu alinipa takwimu nzuri
Mahojiano yamechukua muda mrefu kwasababu mhojiwa hakuwa nakumbukumbu nzuri juu
Mahojiano yamekamilika vizuri na mwalimu amejitahidi kunionesha makablasha ya ma
Mahojiano yamekamilika vizuri na mwalimu amenionesha vithibitisho muhimu
Mahojiano yamekamilika vzuri ila mwalimu alikuwa na haraka sana ya kutaka kumali
Mahojiano yamekwenda vizuri na mwalinu ameonesha ushirikiano mkubwa na ameniones
Mahojiano yamekwenda vizuri na nimeoneshwa hata bahadhi ya nyaraka muhimu
Mahojiano yamekwenda vizuri na nimeoneshwa vithibitisho vyote
Mahojiano yamekwenda vzuri na nimeoneshwa vithibiyisho vyote muhimu
Mahojiano yamesha cvizuri sama lila mwalimu alikuwa na hataka sana ya kutaka kuo
Majibu mengine hakuwa na uhakika.
Mhojiwa ameshiriki kikamilifu.
Mhojiwa ameshiriki vizuri sana.
Mhojiwa ameshiriki vyakutosha.
Mhojiwa ametoa ushirikiano mzuri.
Mhojiwa ametoa ushirikiano wakutosha.
Mhojiwa hakuwa na taarifa za kutosha.
Mjojiwa ametoa ushirikiano mzuri.
Mkuu wa shule alikuwa msikivu pia alionyesha ushirikiano kwa muda wote lakini ku
Mkuu wa shule alitoa ushirikiano mnzuri
Mkuu wa shule amejibu maswali yote pia ameonyesha ushirikiano kwa kiasi kikubwa.
Mkuu wa shule amekuwa na tatizo la walimu haswa wa hessabu kuanzia kidato cha kw
Mkuu wa shule ametoa ushirikiano mzuri katika kukamilisha utafiti huu ila hakuwa
Mkuu wa shule ametoa ushirikiano wa kutosha katika kufanikisha zoezi hili ila an
Mkuu wa shule ametupokea vizuri tu na ametoa ushirikiano mkubwa kukamilisha utaf
Mkuu wa shule hakuwa wazi juu ya kutaja kiasi cha pesa waliyopokea kama ruzuku.
Mkuu wa shule halitoa ushirikiano mnzuri
Mkuu wa shule msaidizi alitoa ushirikiano mzuri ila dodoso ilichukua muda kumali
Mwalim mkuu kanipa ushirikiano mkubwa sana kanionessha documents nilizokua naita
Mwalimu alitoa ushirikiano wa kutosha katika kutoa taarifa husika.ila ameshauri
Mwalimu amenipa ushirikiano mzuri na alikua akijibu maswali kwa kujiamini
Mwalimu ameonesha ushirikiano ila anataka kujua mbona haya mahojiano hayana feed
Mwalimu ametoa usharikiano ila ameshauri wapewe taarifa mapema ili waweze kujian
Mwalimu ametoa ushirikiano wa kutosha katika kuhakikisha ananipatia taarifa husi
Mwalimu ametoa ushirikiano wa kutosha katika kujaza dodoso.
Mwalimu ametoa ushirikiano wa kutosha katika kujibu maswali yote.
Mwalimu ametoa ushirikiano wa kutosha.
Mwalimu kanipa ushirikiano mkubwa sana kanionesha document zote
Mwalimu mkuu ametoa ushirikiano mzuri na kwa kujali umuhimu wa utafiti huu.
Mwalimu mkuu ametoa ushirikiano.
Mwalimu mkuu msaidizi amenipa ushirikiano mzuri sana isipokuwa anaonekana hana t
Mwalimu mkuu msaidizi hakuwa na data za kutosha na alitegemea kwa mwalimu wa taa
NILIPATA USHIRIKIANO WA KUTOSHA
NIMEPATA USHIRIKIANO WA KUTOSHA. MWALIMU HAKUFANIKIWA KUNIPATIA JINA NA NAMBA YA
NIMEPATA USHIRJKIANO MZURI NA WALIMU WOTE.
Nil
Nimemaliza kazi kikamilifu.
Nimepata ugumu wa majibu kwenye baadhi ya maswali.
Nimepata ushirikiano mkubwa sana kanijibu maswali yote kwa kutumia document zote
Nimepata ushirikiano mzuri.
Not cooperative.
TAARIFA ZILIZOTOLEWA NA MWALIMU MKUU MSAIDIZI ZINARIDHISHA. ZIKO WAZI KABISA ZIN
THE CONVERSATION WAS GOOD.
Taarifa ya mapema kwa shule za kusailiwa ni muhimu kwa ajili ya maandalizi hasa
Taarifa zimetolewa kwa udhibitisho wa maandishi.
USHIRIKIANO ULIKUWA VIZURI, MWALIMU ALIYEHOJIWA ALIKUWA MTAALUMA,ALITUMIA VIELEL
Upatikanaji wa record ulikuwa wa shida sababu mkuu wa shule hakuwepo shuleni na
Very cooperative.
WALIMU WAMETOA USHIRIKIANO MKUBWA
Walimu wa shule hii wana morali wa kazi ila wanalalamikia umbali wa makazi yao k
Well done.
academic answered me the whole questions. cooperatively except. for the smc name
academic master alitoa ushirikiano mzuri kujibu maswali vizuri
amejibu maswali yote
amenionesha ushirikiano mzuri
amenipa ushirikiano mzuri tu.hakuna tatizo lolote.
amenipa ushirikiano wa kutosha
ameonesha udhirikiano ila wapo kwenye mazingira magumu mpaka walimu wapya wanaka
ameonesha ushirikiano
ameonesha ushirikiano katika kujibu maswali na wanahitaji misaada kama kuna uwez
ameonesha ushirikiano mzuri
ameonesha ushirikiano na kingine mwalimu kama anafundisha book keeping mbona hil
ameonesha ushirikiano wa kutosha katika mahojiano ila amelalamika kuwa mbona ser
ameshidwa kutoa tarifa za mapato. ya michango kutoka kwa. wazazi tarifa hazipo.
ametoa ushilikiano mzuli sana
ametoa ushilikiano mzuri sana ila hana tarifa ya fedha inje ya ada kutoka kwa wa
ammeonesha ushirikiano ila kwenye idadi ya wanafunzi wa kidato cha tatu haina uh
anahofia kutoa taarifa hususan zile za
anaushirikian mzuri
baadhi ya maswali alikuwa anapata shida sana kupata record zake.
completed.
done
done well
dooso imekamilika lakini namba ya simu ya mwekiti wa bodi haijapatikana
good
hakuna tatizo lolote.
hakutoa talifa kuhusu michango nje ya ada ya mwaka 2011 arisema haku zikuta
ilikuwa nzuri
interview imeenda poa
it was difficult to gate real information. and the respondent. was busy.
kaimu ametoa ushirikiano mnzuri
kaimu mkuu ameonyesha ushirikiano mnzuri
kaimu mkuu ametoa ushirikiano mnzuri
kaimu mkuu hajui taarifa ya ruzuku kwa sababu mkuu yupo kwenye semina
kaimu mkuu wa shule kaonyesha ushirikiano mnzuri
mahojiano yalikuwa mazur lakini mwalimu mkuu anashauri tuwe tunatoa taarifa mape
mahojiano yalikuwa mazur yenye ushirikiano wa kutosha
mahojiano yalikuwa mazur yenye ushirikiano wakutosha
mahojiano yalikuwa mazuri
mahojiano yalikuwa mazuri kutokana na ushirikiano nilio upata toka kwake.
mahojiano yalikuwa mazuri na walimu wameshukuru sana kwa majibu ya watoto wao pi
mahojiano yalikuwa mazuri na yameisha vizuri
mahojiano yalikuwa mazuri yenye ushirikiano wa kutosha
mahojiano yalikuwa mazuri yenye ushirikiano wakutosha
mahojiano yalikuwa na changamoto nyingi sana ila mwalimu alionyesha ushirikiano
mahojiano yalikwenda vzuri na nimeoneshwa takwimu zote za msingi
mahojiano yameenda safi kabisa kwani ameonesha ushirikiano katika kutoa taarifa
mahojiano yameenda sawa kwani ameonesha ushiriikiano mzuri na kujibu kila kitu n
mahojiano yamefanyika vizuri.
mahojiano yamekwenda vizuri
mahojiano yamekwenda vizuri ila kuna vitu sijaoneshwa.mfano bajeti ya shule
mahojiano yamekwenda vzuri na mwalimu amejitahidi kuniobesha kila ktu kwa vithib
mahojiano yamekwenda vzuri na mwalimu amenionesha hadi nakala za vithibitisho
mahojiano.yalikuwa mazur yenye ushiriakiano
maisha magumu kwa walimu
maswali mawili sikujibiwa kwakuwa mwasibu hayupo upande wa mahesabu, juu ya maku
maswali yote yalijibiwa kwa data na takwimu husika
mazungumzo yalikuwa maziri kwa sababi nilipatiwa data kamili
mhojiwa hana takwimu sahihi za wanafunzi walioacha shule kwa kuwa si wote wanaoa
mkuu alitoa ushirikiano mnzuri
mkuu alukuwa anashindwa kujibu baadhi ya maswali kwasababu ni mgeni kwenye hi sh
mkuu halitoa ushirikiano mnzuri
mkuu kanionyesha ushirikiano mzuri'saleh
mkuu wa shule alitoa ushirikiano mnzuri kwa bahati mbaya muhasibu anaumwa ndo an
mkuu wa shule alitoa ushirikiano wa kutosha na alieleza kila kitu kwa ukamilifu.
mkuu wa shule amejibu yote na ametumia data halisi kama vile bank statement na s
mkuu wa shule amekataa kabisa kufanya mahojiano.
mkuu wa shule ametoa ushirikiano mnzuri
mkuu wa shule ametoa ushirikiano wa kutosha
mkuu wa shule kaonyesha ushirikiano wa kutosha.
muhojiwa alikua na haraka na shughuli nyingine wakati wa mahojiano lakini alieza
muhojiwa halikosa record ya fedha alizokusanya mwaka jana kutoka kwa wazazi.SMC
mwalimu alikua akijibu kwa ufasaha na kwa kujiamini.
mwalimu alikua akijibu maswali kwa kubunibuni
mwalimu alikua akijibu maswali kwa kujiamini na amenipa ushirikiano mzuri
mwalimu alikua anapata tabu katika kutoa majibu lakini kanipa ushirikiano hadi m
mwalimu alikua anawasiwasi na majibu amayotoa
mwalimu alikuna ushirikiano naalieleza kilakitu.
mwalimu alikuwa ana wasiwasi sana na pia hakuwa na uhakika na majibu anayotoa.
mwalimu alikuwa na ushirikiano mzuri mpaka mwisho wa mahojiano.
mwalimu alionyesha ushirikiano. mzuri katika kujibu maswali
mwalimu alisema kila kitu .naonyesha ushirikiano wakutosha
mwalimu alitoa ushirikiano wa kutosha kujaza dodoso namba ya mwenyekiti wa board
mwalimu amejibu maswali vizuri na hakuwa na tatizo lolote.
mwalimu amejibu vizuri maswali na alikuwa huru.
mwalimu ameonesha ushirikiano
mwalimu ameonesha ushirikiano ila hakuwa na taarifa za kutosha kuweza kunieleza
mwalimu ameonesha ushirikiano ila kwenye swali la ruzuku serikalini ameshindwa k
mwalimu ameonesha ushirikiano ila shule haina walimu wa kutosha na hata wanafunz
mwalimu ameonesha ushirikiano ipasavyo ila kuna sehemu moja inahusu masomo kama
mwalimu ameonesha ushirikiano kwa kujibu maswali ila kitu anachotaka kujua watap
mwalimu ameonesha ushirikiano lakini hakuwa na uelewa au ufahamu wa kutosha.
mwalimu ameonesha ushirikiano mzuri ila vyoo vipo viwili ambavyo ni vya walimu k
mwalimu ameonesha ushirikiano wa kutosha
mwalimu ameonesha ushirikiano wakutosha
mwalimu ameonyesha ushilikiano wa kutosha
mwalimu ameonyesha ushirikiano mzur.
mwalimu ameonyesha ushirikiano mzuri wakati wa mahojiano.
mwalimu ameonyesha ushirikiano mzuri.
mwalimu ameonyesha ushirikiano na amekuwa muwazi katika muda wote wa mahojiano
mwalimu ameonyesha ushirikiano wa kutosha
mwalimu ameshiriki mahojiano vizuri.
mwalimu ametoa ushiirikiano mzuri.
mwalimu ametoa ushirikiano
mwalimu ametoa ushirikiano mzuri wakati wa mahojiano.
mwalimu ametoa ushirikiano mzuri.
mwalimu ametoa ushirikiano wa kutosha.
mwalimu ametoa ushirikino wa kutosha ila ameshauri kupelekewa vitabu.
mwalimu ametpa ushurikiano mzuri
mwalimu hajui mambo ya shule kutokana na mkuu wa shule alikuwa msiri sana.
mwalimu kaonyesha ushirikiano
mwalimu mkuu alikuwa muwazi kueleza taarifa zote kwa ukamilifu
mwalimu mkuu ameonyesha ushirikiano japo alikuwa na majukumu mengi ya kiofisi, a
mwalimu mkuu ametoa ushirikiano wa kutosha wakati wa kujaza dodoso ila ameshauri
mwalimu mkuu wa shule kaonesha ushirikiano wa kutosha
mwalimu mkuu.alionesha ushirikiano ingawa hatukukuweza kufika mwisho kwasababu m
mwalimu mtaaluma ndo ameachiwa shule na hajui baadhi ya taarifa za shule.
mwalimu ni mgeni hapa shuleni.hajui taarifa nyingi za shule kwasababu bado hajak
mwalimu ni mgeni hatoi majibu ya uhakika na pia vitu vingi kuhusu shule hafahamu
mwarimu hakutaka kuwa wazi kutaja kiasi cha fetha ambacho ana kusanya nje na ada
nashukuru zoezi limeenda vizuri ila walimu waliomba tuwe tunawaptia taarifa mape
nimepata ushilikiano mzuri
nimepata ushirikiano
nimepata ushirikiano muzuri
nimepata ushirikiano mvuri toka kwa muhojiws
nimepata ushirikiano mzuri
nimepata ushirikiano mzuri sanaa
nimepata ushirikiano wa kutosha
nimeridhika na majibu yote
nimeridhka na majibu ya mwalimu
nmepata ushirikiano mzuri
nmepata ushirikiano mzuri sana
nmepatiwa ushrikiano mzuri
nmepewa ushirikiano mzuri
nmepewa ushirikiano mzuri sana
no comments
now comments
now. comments
seen.
shule haijaandaa usajili wa idadi ya wanafunzi2014 kwa vidato vyote kutokana na
shule hii inakabiliwa na upungufu wa walimu hivyo walimu wanahitajika. pia mwali
shule ina mabadiliko ya utawala SMC imevunjwa na mpaka sasa haijaundwa mpya ko h
shule ina walimu 22,14 wa o'level questionaire haikuruhuru kuingiza waalimu wa A
shule inatunza kumbukumbu viuri
swali la A14 haina kiongozi mpya wa smc kwakuwa hawajamchagua mwingine tangu wa
swali la makusanyo ya michango mbali na ada kwa mwakajana pamoja na kufahamu kia
tatizo ni matatizo ya walimu hayajafumbuliwa....
tumeshndwa kupata takwim kutokana na kutokuwepo kwa mhasibu tumekosa kupata mapa
turipewa ushilikiano mzuri
upungufu wa walimu wa somo la sayansi. .upungufu wa vifaa vya kujifunza na kujif
ushirikiano mazuri nmeupata!
ushirikiano mdogo!
ushirikiano mzuri nmeupata
ushirikiano mzuri sana
ushirikiano niwakuridhisha.
ushirikiano nmepata wakuridhisha
was good
was very good.
well answered. questions
well done.
well. answered
yalienda vizuri
Warning: these figures indicate the number of cases found in the data file. They cannot be interpreted as summary statistics of the population of interest.
Back to Catalog
IHSN Survey Catalog

© IHSN Survey Catalog, All Rights Reserved.